FALSAFA MPYA YA MAISHA; Acha Kuishi Falsafa Hizi Ambazo Zinakuzuia Kuishi Maisha Bora Na Ya Furaha.

By | January 22, 2017
Ulipozaliwa, ulikuwa mweupe kabisa, siyo weupe wa rangi, bali weupe kwamba hukuwa na chochote. Kama ni daftari basi tunasema halikuwa limeandikwa chochote. Lakini dakika chache baada ya kuzaliwa ulianza kujazwa vitu ambavyo vingi umeshikilia mpaka sasa, hujawahi kuvihoji kama vina msaada kwako au la. Ulizaliwa ukiwa huna jina, kabisa, hadhi,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In