Kuishi Uhamishoni/Kizuizini.

By | April 9, 2017
  Enzi za utawala wa Roma, wanafalsafa walikuwa wakipata shida kubwa sana ya kufukuzwa kwenye nchi zao na kwenda kuishi uhamishoni. Wengine walihukumiwa kufa kabisa. Kwa watu wa kawaida, kwenda kuishi uhamishoni, sehemu ambayo hujaizoea na hakuna unayemjua, kunatosha kukuvuruga na kukuondolea furaha. Lakini wastoa wote waliofukuzwa na kwenda uhamishoni,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In