KUWA MSTOA – Anza Sasa Na Jiandae Kudhihakiwa.

By | April 9, 2017
Kuiishi falsafa ya ustoa siyo kitu rahisi, Kwanza kutokana na mazoea ambayo tayari tunayo, tunahitaji kubadili mengi tuliyokuwa nayo kwenye maisha na kubadili maisha yetu kwa ujumla. Na hakuna kitu kigumu kwa wengi kama wao wenyewe kuridhia kubadilika. Pia ugumu unakuja pale wengine wanapokuchukulia kwamba falsafa yako ni ya ajabu.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In