BIASHARA LEO; Kama Fursa Inaongelewa Na Kila Mtu, Umeshachelewa…

By | June 26, 2017
Makosa ya binadamu ni yale yale, miaka nenda miaka rudi. Mwaka 2000 palitokea mgogoro wa kiuchumi, hasa nchini marekani, ambapo hisa za makampuni ya mtandao wa intaneti zilishuka ghafla. Hali hii ilipelekea wengi ambao walikuwa wanaonekana mamilionea, kufilisika kabisa. Kilichopelekea hali hii ni kuvuma kwa habari za biashara ya intaneti,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In