BIASHARA LEO; Changamoto kubwa kwenye kupata wateja…

By | July 17, 2017
Zipo changamoto nyingi za biashara, na kwenye kupata wateja zipo changamoto pia. Lakini ipo changamoto moja kubwa ambayo wafanyabiashara wengi, huwa hawaielewi. Hasa kwa wale wafanyabiashara wanaoanza, huwa hawaelewi changamoto hii kwa sababu bado wanakuwa hawajawaua wateja wa biashara zao. Changamoto tunayokwenda kuigusia leo ni kuchagua wateja wa biashara yako.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In