BIASHARA LEO; Mteja Mmoja Baada Ya Mwingine…

By | July 27, 2017
Kosa kubwa ambalo wafanyabiashara wapya wamekuwa wanafanya ni kutaka siku ya kwanza ya biashara wawe na wateja wengi, waliopanga foleni kusubiri kuhudumiwa. Hilo halijawahi kutokea, hivyo achana nalo, kama ndiyo unaanza biashara au unapanga kuanza biashara. Hata kama watu wanakuahidi kiasi gani kwamba watanunua kwako, ukweli unaupata unapoanza biashara, hutawaona.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In