BIASHARA LEO; Kazi Yako Siyo Kuwaambia Watu Kipi Wanataka, Bali Kuwasikiliza Nini Wanataka.

By | September 22, 2017
Mapinduzi makubwa sana yameshafanyika kwenye biashara kwa ujio wa mtandao wa intaneti na mitandao ya kijamii. Sasa hivi nguvu kubwa ipo kwa wateja na siyo wafanyabiashara. Siku za nyuma ilikuwa kampuni inaamua izalishe nini, kisha inatengeneza matangazo yenye kuvutia sana na kuwashawishi watu mpaka wapokee ile bidhaa inayotolewa. Lakini sasa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In