BIASHARA LEO; Huuzi Tu Biashara, Unajiuza Na Wewe Pia.

By | September 25, 2017
Katika kununua, watu wanaendeshwa na hisia zaidi ya fikra. Huwa tunafikiri kwamba watu watakuwa ‘logical’ katika kufanya maamuzi ya kununua, lakini huo siyo ukweli. Watu huwa wanaendeshwa na hisia zaidi katika kufanya maamuzi kuliko kufikiri kwa kina. Na hapo ndipo wengi wanapokosea, kwa kuamini watu watanunua kile wanachouza, kwa sababu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In