UWEKEZAJI LEO; Aina Kuu Mbili Za Soko La Hisa.

By | September 26, 2017
Soko la hisa limegawanyika kwenye aina kuu mbili, kulingana na hisa zinazouzwa sokoni. Aina ya kwanza ni soko la awali (primary market). Hili ni soko la hisa ambapo hisa ndiyo zinaingia sokoni kwa mara ya kwanza. Hapa kampuni au taasisi inakuwa ndiyo inaandikisha hisa zake kwenye soko la hisa. Katika

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In