BIASHARA LEO; Mteja Hajali Kuhusu Ushindani Wako Na Wafanyabiashara Wengine…

By | September 24, 2018
Kama kila biashara ingeweka rasilimali zake kwenye kuwahudumia vizuri wateja wake, biashara zingefanikiwa sana. Lakini biashara nyingi zimekuwa zinatafuta njia za mkato za kupata wateja, na moja ya njia hizo ni kuwaangusha washindani wao wa kibiashara. Kama una washindani wa kibiashara, jambo jema kabisa unaloweza kufanya kwa ajili yako ni

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In