BIASHARA LEO; Usiajiri Watu Wanaotaka Kazi, Ajiri Watu Wanaotaka Hiki…

By | September 27, 2018
Changamoto nyingi zinazotokana na kuajiri kwenye biashara, zinatokana na watu wanaotafuta kazi ya kufanya. Watu ambao wanakuambia wanaweza kufanya kazi yoyote na wanaoangalia ni nini wanalipwa pekee. Hawa ni watu ambao unaweza kuwapata kirahisi sana, unaweza kuwalipa rahisi pia, lakini pia utawapoteza kirahisi na kazi yoyote wanayoiweka inakuwa ya urahisi,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In

Prove your humanity


   
Category: BIASHARA LEO

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz