#TuvukePamoja; TOA THAMANI ZAIDI…

By | May 17, 2020
Katika kipindi hiki tunachopitia sasa cha kuyumba kwa uchumi kutokana na mlipuko wa covid 19, ni nafasi nzuri kwa kila mmoja wetu kutoa thamani zaidi ya alivyokuwa anatoa awali. Kwa shughuli yoyote unayofanya, iwe unazalisha au kuuza bidhaa au huduma zozote zile, nenda hatua ya ziada kwa kutoa thamani zaidi.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In