Jinsi Ya Kuepuka Kununua Matatizo

By | August 19, 2023
Mstoa mwenzangu, Kama tulivyojifunza jana kwenye makala ya kwanza ya ustoa, tunapaswa kuwa wanafalsafa kwa kuishi falsafa kwa matendo na siyo maneno.Falsafa ni kupenda hekima,na hekima ni kupenda kujifunza na kuchukua hatua. Huwezi kuwa na furaha kama huna hekima. Ukiwa huishi falsafa, utakua ni mtu wa kununua matatizo ya watu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: FALSAFA YA USTOA

About Deogratius Kessy

Deogratius Kessy ni mwandishi,Mhamasishaji, mwalimu na pia mjasiriamali.Anaandika kupitia mtandao wake wa www.mtaalamu.net/kessydeo lakini pia huwa anaandika katika mtandao wa amka mtanzania Mara moja kwa wiki unaoendeshwa na Makirita Amani.Aidha, mpaka sasa mwandishi Deogratius Kessy ameshatoa kitabu kimoja kiitwacho Funga ndoa na Utajiri. kitabu hiki kipo katika mfumo wa nakala tete ambacho baadae kitakuwa kinapatikana kwa mfumo wa kawaida yaani Hard copy.Deogratius Kessy, alihamasishwa kuandika na Makirita Amani tokea mwaka 2014 mpaka leo. Amechagua falsafa ya kuandika na kujifunza kila siku.vilevile, amejitoa kutumika na kusaidia watu wengine kupitia maandiko yake anayoandika kupitia vitabu na kwenye mitandao.mwandishi Deogratius, anavipaji kama vile kuandika, kuongea, kufundisha na uongozi. mwisho, Haya ni machache tu kati ya mengi anayofanya Deogratius Kessy. Asante sana.