Category Archives: KUTOKA KWA KOCHA

Hizi ni makala kwa wasomaji wote wa KISIMA CHA MAARIFA.

#TAFAKARI YA LEO; WEKA UMAKINI WAKO KWENYE WAKATI ULIOPO…

By | June 19, 2019

“Don’t let your reflection on the whole sweep of life crush you. Don’t fill your mind with all the bad things that might still happen. Stay focused on the present situation and ask yourself why it’s so unbearable and can’t be survived.” —MARCUS AURELIUS, MEDITATIONS, 8.36 Hongera sana mwanamafanikio kwa (more…)

#TAFAKARI YA LEO; USIONE AIBU KUOMBA MSAADA…

By | June 16, 2019

“Don’t be ashamed of needing help. You have a duty to fulfill just like a soldier on the wall of battle. So what if you are injured and can’t climb up without another soldier’s help?” —MARCUS AURELIUS, MEDITATIONS, 7.7 Hongera sana mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri sana ambayo tumeiona (more…)

#TAFAKARI YA LEO; MDOMO MMOJA, MASIKIO MAWILI…

By | June 15, 2019

“To the youngster talking nonsense Zeno said, ‘The reason why we have two ears and only one mouth is so we might listen more and talk less.’” —DIOGENES LAERTIUS, LIVES OF EMINENT PHILOSOPHERS, 7.1.23 Shukrani ndiyo kitu pekee tunachoweza kutoa kwa nafasi hii nyingine nzuri tuliyoipata. Siyo kila aliyepanga kupata (more…)

#TAFAKARI YA LEO; USIFANYE MAMBO KUWA MABAYA ZAIDI…

By | June 11, 2019

“How much more harmful are the consequences of anger and grief than the circumstances that aroused them in us!” —MARCUS AURELIUS, MEDITATIONS, 11.18.8 Ni siku mpya, siku nzuri na ya kipekee sana kwetu. Ni fursa nyingine nzuri kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Kwa msingi (more…)

#TAFAKARI YA LEO; HATA WEWE UNAWEZA PIA…

By | June 10, 2019

“If you find something very difficult to achieve yourself, don’t imagine it impossible—for anything possible and proper for another person can be achieved as easily by you.” —MARCUS AURELIUS, MEDITATIONS, 6.19 Tushukuru kwa nafasi hii nyingine ambayo tumeipata leo. Siyo wote ambao walipanga kuiona siku hii wameweza kuiona. Ila kwa (more…)