Category Archives: #TAFAKARI YA LEO

#TAFAKARI YA LEO; HUWEZI KUJUA KILA KITU…

By | September 24, 2020

“No matter bow big mankind’s store of knowledge seems to me in comparison with our previous ignorance, it is only an infinitely small part of all possible knowledge.” – Leo Tolstoy Haijalishi maarifa tuliyonayo sasa ni mengi kiasi gani, Bado ni sehemu ndogo mno ya maarifa yanayoweza kupatikana. Kadiri tunavyokwenda, (more…)

#TAFAKARI YA LEO; UKIONA NI RAHISI, PATA WASIWASI…

By | September 20, 2020

“Bad things are easy to do, good things are done only with work and effort.” — Dhammapada Matapeli wana siri moja ya kuwanasa watu wanaotaka kuwatapeli. Huwa wanafanya kitu kionekane kuwa rahisi kabisa kufanya. Na kwa kuwa watu wanapenda urahisi, basi hunasa kwenye mitego hiyo na kutapeliwa. Vitu vibaya na (more…)

#TAFAKARI YA LEO; SIYO KINACHOTOKEA, BALI WEWE…

By | September 18, 2020

“There are no accidents so unfortunate from which skilful men will not draw some advantage, nor so fortunate that foolish men will not turn them to their hurt.” – François Duc De La Rochefoucauld Huyachukulii mambo kwa jinsi yalivyotokea, Bali unayachukulia mambo jinsi ulivyo wewe. Hata kama kumetokea jambo baya (more…)

#TAFAKARI YA LEO; KINACHOKUZUIA USIFANYE MAKUBWA…

By | September 17, 2020

“Those who apply themselves too closely to little things often become incapable of great things.” – François Duc De La Rochefoucauld Kinachokuzuia wewe usifanye makubwa, Ni kuhangaika na mambo madogo madogo. Unatia bidii na umakini kwenye mambo madogo na yasiyo na tija, unayafanya vizuri kabisa, lakini hayana mchango wowote kwako. (more…)