Category Archives: #TAFAKARI YA LEO

#TAFAKARI YA USIKU; TUMIA AKILI, USIKARIRI…

By | January 9, 2020

“Knowledge is real knowledge only when it is acquired by the efforts of your intellect, not by memory.” – Leo Tolstoy Maarifa bora kwako ni yale unayoyapata kwa kutumia akili yako kufikiri na siyo kwa kukariri. Kwa kukariri unaweza kujua mengi, lakini usiweze kuyatumia. Kwa kufikiri unaelewa vizuri ulichojifunza na (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; MAARIFA YA KWELI…

By | January 9, 2020

“Only when we forget what we were taught do we start to have real knowledge.” —HENRY DAVID THOREAU Ni jambo kubwa sana na la kushukuru sisi kuweza kuiona siku hii nyingine mpya ya leo. Tukiweza kuitumia vizuri, tutaweza kufanya makubwa sana leo. Maarifa ya kweli yanaanza pale unaposahau kile ulichofundishwa (more…)

#TAFAKARI YA USIKU; FUTA MATUMAINI HEWA…

By | January 6, 2020

“Put at least half of your energy into making yourself free of empty wishes, and very soon you will see that in so doing you will receive much greater fulfillment and happiness.” —After EPICTETUS Kinachofanya tusiyafurahie maisha yetu ni matumaini hewa ambayo tumekuwa tunajipa. Unakuta umejiweka lengo la kupata kitu (more…)

#TAFAKARI YA USIKU; KIDONDA KISICHOPONA…

By | January 5, 2020

A gunshot wound may be cured, but the wound made by a tongue never heals. —PERSIAN WISDOM Kidonda kinachosababishwa na kisu, mshale au risasi kinaweza kupona na hata mtu kusahau kabisa kuhusu kidonda hicho. Lakini kidonda kinachosababishwa na ulimwi, huwa hakiponi kamwe. Hivyo kabla hujatoa neno lolote lichuje kwanza, kwa (more…)