UKURASA WA 902; Kichwa Kilichotulia….

By | June 20, 2017
Niliwahi kushuhudia ajali moja siku za nyuma sana, ambapo dereva alikuwa anamkanyaga mtu, watu wakapiga kelele sana ‘unagongaaa!’ dereva akataharuki, akarudi nyuma akamkanyaga zaidi mtu yule na kupelekea kumuumiza zaidi ya alivyofanya awali. Hayo yote yalitokana na dereva kutaharuki, unapotaharuki kichwa kinakuwa hakijatulia na hivyo kushindwa kufanya maamuzi sahihi. Siku

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In