UKURASA WA 947; unapopata shida ya kuamka asubuhi, jikumbushe hili…

By | August 4, 2017
Usingizi ni mtamu, lakini pia usingizi huwa hauishi, upo kila siku. Kuna wakati muda wa kuamka unakuwa umefika lakini hujisikii kabisa kuamka. Labda umeweka kengele ya kukuamsha, kengele hiyo inapiga lakini unajiambia unalala dakika tano tu utaamka. Unakuja kuamka nusu saa au hata saa nzima baadaye na kuwa umechelewa kuanza

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In