UKURASA WA 1165; Kufanya Kitu Ambacho Hakijawahi Kufanywa Kabisa…

By | March 10, 2018
Mtu anaposema hajaingia kwenye biashara kwa sababu hajui biashara gani afanye, huwa napata wakati mgumu sana kuelewa. Kwamba huyu mtu anaishi kwenye jamii ambayo hakuna biashara yoyote inayofanyika? Au anaishi kwenye jamii ambayo watu hawana shida wala mahitaji yoyote? Ukichunguza kwa ndani watu hao wapo kwenye jamii yenye kila aina

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In