1690; Watu Unaopaswa Kuepuka Kuchukua Ushauri Kwao…

By | August 17, 2019
Ushauri ni moja ya vitu ambavyo vimekuwa vinatolewa kwa urahisi sana, kila mtu amekuwa na uwezo wa kutoa ushauri kwa wengine. Ukuaji wa mtandao wa intaneti na mitandao ya kijamii umefanya kila mtu aweze kutoa maoni yake kwenye jambo lolote lile, na hili pia limechangia kila mtu kuweza kuwa mshauri.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In

6   +   4   =