1691; Hakuna Uhaba Wa Fedha…

By | August 18, 2019
Jukumu kubwa ambalo nimejipa kwenye maisha yangu, ni kuhakikisha wewe rafiki yangu, wewe ambaye umejiunga na mafunzo mbalimbali ninayotoa, unapata fedha zaidi. Ndiyo maana nimekuwa nakushirikisha mafunzo mengi yenye maarifa sahihi kuhusu fedha, na hata kukupa hatua za kuchukua ili kuongeza kipato chako zaidi. Na leo nakurudisha kwenye msingi muhimu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In