#TAFAKARI YA LEO; KUJUA PEKEE HAITOSHI…

By | January 15, 2021
Hautafanikiwa na kuwa na maisha bora kwa sababu unajua vitu vingi. Bali utafanikiwa kwa kuweka kwenye matendo yale unayojua, hata kwa kiwango kidogo tu. Kujifunza kitu mara moja hakutoshi, unapaswa kurudia mara kwa mara mpaka kitu hicho kiwe sehemu yako, kiwe asili kwako. Chagua misingi utakayoendesha nayo maisha yako, iishi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In