#TAFAKARI YA LEO; UNAPOAHIRISHA JAMBO…

By | January 22, 2021
Jambo lolote unalokuwa umejipangia kufanya halafu ukaliahirisha, maana yake ni kwamba umejiambia una jambo jingine muhimu zaidi la kufanya. Sasa hebu angalia mwenyewe, pale unapoahirisha jambo, ni nini unaenda kufanya? Mara nyingi unajikuta ukifanya mambo ya hovyo na yasiyo na tija kabisa. Badala ya kukamilisha kazi muhimu, unakimbilia kufuatilia habari

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In