2219; Tatizo La Mawasiliano Ya Mbali…

By | January 27, 2021
Moja ya sababu zinazopelekea mahusiano ya mbali yasidumu, ni urahisi wa maneno kuchukuliwa tofauti na aliyeyasema alivyomaanisha. Moja ya sababu ya watu kutokuelewana na kutukanana mitandaoni, ni urahisi wa alichoandika mtu kuchukuliwa kwa namna tofauti na alivyomaanisha. Watu mnapokuwa ana kwa ana mazungumzo huwa yanaendana na muktadha. Kama mpo kwenye

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In