#TAFAKARI YA LEO; WASHA MSHUMAA…

By | January 27, 2021
Kama kuna giza, kitu chenye manufaa unachoweza kufanya ni kuwasha mshumaa. Usihangaike kulaumu au kulaani giza, hilo halitabadili chochote. Lakini kwa kuwasha mshumaa, unaleta mwanga ambao unaliondoa giza. Kuna maeneo mengi yenye giza kwenye maisha yako na ya wengine, angalia ni mshumaa upi unaoweza kuwasha kisha fanya hivyo. Kuwa chanzo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In