2218; Unazalisha Nini?

By | January 26, 2021
Kama huipendi kazi au biashara unayofanya, kama unachofanya kinakupa msongo na huna hamasa ya kufanya kwa ukubwa zaidi, tatizo linaweza kuwa huzalishi matokeo ya kutosha au huoni athari ya matokeo unayozalisha. Ukitatua hayo mawili, kwa kuanza na unachozalisha na kisha ukafuatilia athari za unachozalisha, utapenda kile unachofanya na kuhamasika kufanya

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In