2290; Endelea kukaa kimya…

By | April 8, 2021
2290; Endelea kukaa kimya… Kama mtu alitumia mamlaka yake kukukandamiza au kukuumiza na wewe ukachagua kukaa kimya kwa kuyaogopa mamlaka yake, hupaswi kuanza kulalamika pale mtu huyo anapokuwa hayupo au hana tena mamlaka yale aliyotumia kukuumiza nayo. Kuja kusema baadaye kwamba mtu alikuumiza, alikosea au hakuwa anafaa baada ya mtu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In