#TAFAKARI YA LEO; USIKUBALI WATU HAWA WAKUBABAISHE…

By | April 24, 2021
Utakapochagua kuishi maisha ya kuelekea kwenye mafanikio makubwa, watu wanaokuzunguka hawatapendezwa na hilo. Watakupinga, kukukatisha tamaa na hata kukushauri namna unavyopaswa kuyaishi maisha yako. Cha kushangaza sasa, watu hao hawajui hata wanavyopaswa kuyaishi maisha yao, lakini wanaona ni wajibu wao kukupangia wewe jinsi ya kuishi. Kama utawasikiliza watu hao, utakuwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In