2329; Kanuni ya kipato…

By | May 17, 2021
2329; Kanuni ya kipato… Kitapo unachoingiza kinatokaba na kanuni ya kisayansi ambayo ukiielewa na kuifanyia kazi, utaweza kukuza sana kipato chako. Kanuni hiyo ina vitu vinne muhimu sana. Kitu cha kwanza ni uhitaji wa kile ambacho unafanya. Kama unachofanya au kuuza ni hitaji la msingi la watu, watasukumwa kuja kulipata

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In