2357; Jiweke kwenye fikra zao…

By | June 14, 2021
2357; Jiweke kwenye fikra zao… Mtu akikuambia nitakutafuta, usisubiri mpaka akutafute, utakuwa umechagua kumpoteza. Hasa pale wewe ndiye unayekuwa unahitaji zaidi kitu kutoka kwake. Ipo kauli inayosema kisichoonekana huwa kinasahaulika. Kadhalika kwa wale wanaokuambia watakutafuta, ni rahisi kusahau kama hakuna kinachowafanya wakukumbuke. Na hapo ndipo unapaswa kujiweka kwenye fikra zako,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In