#TAFAKARI YA LEO; IFANYE KAZI HII NGUMU….

By | July 3, 2021
Kwa kawaida huwa hatupendi kufanya vitu vigumu, badala yake tunakimbilia kwenye vitu rahisi. Sasa kwa kuwa vitu rahisi kila mtu anafanya, vinakosa thamani na inakuwa vigumu kufanikiwa. Moja ya kazi ngumu ambayo huwa tunaitoroka ni kufikiri na akili zetu huwa zinatafuta kila aina ya sababu ili tu tusifikiri mambo magumu.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In