2376; Vinavyozuia Biashara Kukua…

By | July 3, 2021
2376; Vinavyozuia Biashara Kukua… Kwa asili, kitu chochote kinachozaliwa kinapaswa kukua. Na kama hakikui basi kuna sababu, kuna kitu kinazuia. Kama mtoto amezaliwa na hakui, haongezeki uzito, hukai na kuridhika, lazima ujue sababu ni nini na kuchukua hatua. Hivyo ndivyo inavyopaswa kuwa kwenye biashara pia. Biashara inapoanzishwa, inapaswa kukua. Kama

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In