2484; Viongozi na wafuasi.

By | October 19, 2021
2484; Viongozi na wafuasi. Viongozi hawatengenezi wafuasi, bali wanawakusanya. Wafuasi wanakuwepo tayari, wakiwa na mahali wanataka kwenda. Pale wanapomuona mtu ambaye anaweza kuwaongoza kufika kule wanakotaka kufika, wanakuwa tayari kumfuata. Wafuasi hawamfuati kiongozi kwa sababu tu anataka kuwaongoza. Bali wafuasi wanamfuata kiongozi kwa sababu ya maono aliyo nayo na yale

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In