2485; Haiwezekani mpaka itakapofanyika.

By | October 20, 2021
2485; Haiwezekani mpaka itakapofanyika. Kila kitu ambacho hakijawahi kufanyika, hakiwezekani. Hakiwezekani siyo kwa sababu hakiwezekani kweli, ila kwa sababu watu hawajawahi kuona kikifanyika. Hivyo kama kuna kitu unataka kufanya na wengine wanakuambia hakiwezekani, jua siyo kwamba hakiwezekani, ila watu hao hawajawaji kuona kitu hicho kikifanyika. Ni wajibu wako kukifanya ili

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In