Hisia mbili zinazowaongoza binadamu na jinsi ya kuzitumia kwenye biashara na ujasiriamali.

By | September 1, 2014
Mafanikio kwenye ujasiriamali yanatokana na vitu vingi sana. Ni muhimu sana kujifunza mambo yote yatakayokuletea mafanikio ili uweze kufikia mafanikio makubwa kupitia ujasiriamali. Leo tutaona hisia mbili zinazowaongoza au kuwatawala binadamu na jinsi unavyoweza kuzitumia kufikia mafanikio makubwa sana. Wakati mwingine tutajifunza mambo mengine yatakayokuletea mafanikio makubwa. Hisia ya kwanza;

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In