SIKU YA 4; Nguvu Ya Kuamini.

By | September 4, 2014
Kuna nguvu moja inayokuwezesha kufanikiwa na kupata chochote unachotaka. Nguvu hii inaweza kushinda vikwazo, changamoto na hata kushindwa. Nguvu hii ni NGUVU YA KUAMINI. Bila nguvu ya kuamini una uhakika wa kushindwa kwenye jambo lolote unalofanya. Kwa kuwa nayo kufanikiwa ni uhakika. Nguvu ya kuamini inaweza kukupatia mambo haya matatu;

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In