SIKU YA 8; Mtazamo Wako Ndio Unatawala Maisha Yako.

By | September 8, 2014
Mtazamo chanya na tabia nzuri zitakuwezesha kufikia mafanikio makubwa. Fikra zako zinazotokana na mtazamo wako ndizo zitakazokufanya uweze kufanikiwa au ushindwe kufanikiwa. Fikiria mambo madogo na utakuwa mtu mdogo, fikiria mambo makubwa na utakuwa mtu mkubwa kama ukitenda yale unayofikiri. Mtu mwenye mtizamo sahihi haonyeshi tu kufanikiwa bali hufikia mafanikio

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In