Ushauri Kwa Wajasiriamali Kutoka Kwa Mwanzilishi Wa Facebook.

By | September 26, 2014
Mmoja wa waanzilishi wa Facebook Dustin Moskovitz, ambaye amekuwa bilionea kupitia kampuni hiyo, sasa anamiliki kampuni nyingine inayotoa ushauri kwa wajasiriamali na wanaotaka kuingia kwenye ujasiriamali. Anasema tofauti na vyombo vya habari vinavyoonesha kwamba ujasiriamali ni kitu cha ufahari na rahisi, ni kazi ngumu sana ambayo inahitaji ujitoe sana. Anasema

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In