MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
JE WAJUA; Madhara Ya Kula Huku Unaangalia Tv
Imekuwa ni jambo la kawaida kwa mtu kula huku akiangalia tv, simu au kompyuta.Wakati mwingine mtu anaweza kuwa anakula huku anasoma kitabu, gazeti au jarida.Hiki ni kitu hatari sana kwa afya yako. Tabia hii inakusababishia uzito wa mwili uliozidi(obesity) au kiribatumbo.Hii inatokana na kwamba wakati unakula huku unafanya jambo jingine