MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Hizi ndio Hofu mbili ulizozaliwa nazo, nyingine ni uongo.
Hofu ndio kikwazo kikubwa cha wewe kushindwa kufikia mafanikio makubwa.Hofu ya kushindwa, hofu ya kukataliwa, hofu ya kifo na nyingine nyingi zimekuwa zinakurudisha nyuma kila siku.Habari njema ni kwamba hofu hizi sio sehemu ya maisha yako bali umejifunza tu. Hivyo ina maana unaweza kuondokana nazo kama zilivyokuingia.Mtoto mdogo anazalia na