MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Mambo Matano Ya Uongo Uliyojifunza Shuleni.
Shule ni nzuri sana maana ndio imetuwezesha kusoma, kuandika na kuhesabu. Vitu vitatu muhimu sana ambavyo unavitumia kwenye maisha yako yab kila siku.Shule hii hii imekufundisha mambo mengine ya uongo ambayo yamekuwa kikwazo kwako kufikia mafanikio.Haya hapa ni mambo matano ya uongo uliyofundishwa shuleni.1. Ukifeli shule umefeli maisha.Umeaminisha kwamba kama