Maswali Matatu Kwa Anayetaka Kuwa Mjasiriamali Kujiuliza Kutoka Kwa Richard Branson.

By | October 13, 2014
Richard Branson ni bilionea mwingereza ambae anamiliki makampuni ya VIRGIN. Chini ya virgin kuna makampuni karibu 400 na yote yako chini ya Richard. Richard Branson ni mmoja wa mabilionea ninaowakubali sana kwa sababu pamoja na utajiri mkubwa alionao bado anapata muda wa kuwafundisha watu wengine kupitia makala zake na vitabu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In