Kesho ni siku muhimu sana kwako, na itumie kufanya jambo hili moja muhimu.

By | November 30, 2014
Kesho ni tarehe moja mwezi wa kumi na mbili. Maana yake ni kwamba ni siku ya kwanza ya mwezi wa mwisho wa mwaka huu 2014.Kuanzia kesho zitakuwa zimebaki siku 30 tu mwaka uishe!Je mwaka huu 2014 uliendaje kwako?Je malengo na mipango uliyojiwekea umeyatimiza!Tumia siku ya kesho kutafakari mwaka huu umekwendaje.Nakutakia

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In