Hiki Ni Kitu Unachotakiwa Kufanya Kila Siku…

By | December 19, 2014
Linapokuja swala la kuhamasika/kuhamasishwa sio kitu kinachotokea mara moja halafu ghafla unakuwa mtu uliyehamasika.Hiki ni kitu ambacho kinatakiwa kutokea kila siku ya maisha yako. Usifikiri unasoma kitabu kimoja unapata maarifa yote unayohitaji, unatakiwa kujifunza kila siku kila siku, yaani namaanisha KILA SIKU, kama jinsi ambavyo UNAOGA KILA SIKU na kama

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In