Hiki Ndicho Kinachonisukuma…

By | December 28, 2014
Imani yangu.Hiki ndicho ninachokiamini mimi na kinachonisukuma kila siku kufanya kile ambacho ninafanya;Naamini kila mtu ana uwezo mkubwa ndani yake wa kuweza kuwa bora zaidi ya alivyo sasa.Naamini kuna fursa nyingi sana zinazomzunguka kila mtu pale alipo ambazo zinaweza kumsaidia kuboresha maisha yake zaidi.Nafanya kazi na watu kuwawezesha kutumia uwezo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In