MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
KURASA YA 01; Maisha Unayoishi Ni Yako.
Katika ukurasa huu wa kwanza kabisa wa kitabu kipya ambacho ni mwaka 2015 ni muhimu sana kuyakubali maisha yako ili uweze kuyabadili. Kubali kwamba maisha unayoishi ni ya kwako na wewe ndio kiongozi mkuu wa maisha yako. Wewe ndio dereva wa gari unaloendesha ambalo ni maisha yako. Wewe kama dereva