#HADITHI_FUNZO; Chochote Kinachotokea Huwezi Kujua Ni Kizuri Au Kibaya

By | January 5, 2015
Palikuwa na mkulima mmoja ambaye alikuwa anamiliki farasi wake waliyekuwa anamsaidia shughuli mbalimbali. Siku moja farasi yule alitoweka na hakuonekana tena. Wanakijiji wenzake walikuja kumfariji na kumpa pole kwa pigo alilopata. Yeye aliwauliza nani ajuaye kama kilichotokea ni kibaya au kizuri? Watu wale waliondoka huku wakimshangaa. Siku chache baadae farasi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In