Kauli Mbiu Ya Mwaka Huu; JUST DO IT.

By | January 6, 2015
Yaani mwaka 2015 ukifika, nitabadilisha kabisa maisha yangu… Mwaka 2015 nitaanza biashara yangu… Mwaka 2015 nitaacha kunywa pombe… Mwaka 2015 nitaanza kufanya mazoezi…. Haya sasa mwaka 2015 ndio huu hapa na unaanza kuchakaa. Je umeshaanza kutekeleza yale uliyojiahidi? Kama bado unasubiri lini, kesho? Umechelewa. Au unasubiri mambo yawe mazuri, Hayatakuwa.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In