Ni Afadhali Kupotea Kuliko Kubaki Hapo Ulipo.

By | January 9, 2015
Moja ya vitu ambavyo vinawafanya wengi kuogopa kuchukua hatua ya kubadili maisha yao ni kuogopa kupotea. Yaani okuoghopa kushindwa au kuogopa hali kuwa mbaya kuliko ilivyo sasa hivi. Ukweli ni kwamba ni heri upotee kuliko ubaki hapo ulipo. Maana utakapopotea utajifunza na kujua ipi ni njia sahihi. Ukibaki hapo ulipo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In