Kama Sio Wewe Nani? Kama Sio Sasa Lini?

By | January 21, 2015
Kama sio wewe utakayebadili maisha yako unafikiri ni nani atakayefanya hivyo? Kama sio sasa utabadili maisha yako umafikiri ni lini utafanya hivyo? Usijidanganye kwamba kuna mtu atakayekuja kukutoa hapo ulipo, ni lazima nia hii itoke ndani yako. Usijidanganye kwamba utabadili maisha yako kesho, kesho haijawahi kufika. NI WEWE, NI SASA,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In